TABORA IS OUR NEXT STOP.
Siku mbili tu.
Wale wa Tabora tunakukumbusha tuko Tabora na neno la majira kwa siku mbili yaani tarehe 5 na 6 mwezi july.
Tutakuwa pale uwanja wa Uyui sekondari.
Waambie na wengine kuwa Bwana analo jambo kwa watu wote wa Tabora.
Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Tunashinda kitofauti

