Yes safari yetu ya mfungo wa siku sita wa kufunga na kuomba ndio tunaianza. Siku sita za mfungo wa kuteka miezi sita ya iliyobaki na kujiweka salama na Bwana kipindi hiki cha uchaguzi.
Hakikisha haukosi maombi haya kumbuka Ni siku sita kila siku saa kumi kamili asubuhi.
Kumbuka Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
Mt 17:21 SUV
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Muda wa kusababisha vitoke na kuteka ni sasa.
Tunaanza maombi yetu tarehe 25 mapaka tarehe 30. Ujiandae Hakikisha unaingia kwenye groups kwa maelezo zaidi ya namna ya kufunga.


